Makapuku Forum

Nyakati zimekwenda wapi? Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita. Eti tulikuwa na Welbeck kama Straika.
Welbeck mcheza disko hata ArsayNO wamechukua garasa halafu wakatuona wajinga
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Van Nistelrooy na Rooney walikuwa moto zen akaja Chicharito akatisha kidogo lakini Van Ugali hakumthamini sasa hivi anatesa Bundesliga
.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…