[emoji122] [emoji122] [emoji122] Huey Newton1966 - Black Panther Party yaanzishwa na Huey P. Newton na Bobby Seale.
Ni chama kilichojishughulisha na Harakati za kupigania haki za mtu mweusi.
Wakati kinaanzishwa, Mkurugenzibwa FBI wa wakati huo Edgar Hoover alidai chama hiko ni hatari kwa usalama wa ndani wa Marekani.
So sad
Siasa Siasa1990 - Kiongozi wa Soviet, Mikhail Gorbachev anazawadiwa tuzo ya Nobel kwa mchango wake mkubwa katika kumaliza Vita Baridi iliyokuwepo kwa miaka takribani 30 kati ya Urusi na Marekani.
Gorbachev anachukuliwa kama pandakizi aliyekulia na kusomea Marekani na ambaye baadae CIA ilikuja kumuingiza kwenye siasa za Urusi na kushinda Urais na baadae kuvunja Umoja wa Kisoviet wa Kirusi ( USSR ).
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Okey
Mjadala umefungwa
........
Hilo ni jeraha au ni tattoo hapo kwenye paji la uso?
Pia ndiye mchezaji wa mwisho kufunga goli la dhahabu1977 - David Trezeguet anazaliwa.
Ni mshambuliaji wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Ufaransa.
Anakumbukwa kwa kupiga penati ya ushindi iliyowapa Ufaransa taji la Euro 2000 dhidi ya Italy.
Miaka sita baadae katika fainali ya Kombe la Dunia, anakumbukwa kwa kukosa penati muhimu iliyiwapa Italy ubingwa huo wa Dunia.
Iligonga mwamba, ila David alikuwa anajua kufunga1977 - David Trezeguet anazaliwa.
Ni mshambuliaji wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Ufaransa.
Anakumbukwa kwa kupiga penati ya ushindi iliyowapa Ufaransa taji la Euro 2000 dhidi ya Italy.
Miaka sita baadae katika fainali ya Kombe la Dunia, anakumbukwa kwa kukosa penati muhimu iliyiwapa Italy ubingwa huo wa Dunia.
Rest in Peace African Che Guevara1987 - Thomas Sankara anauwawa.
Alikuwa ni Rais wa 5 wa Burkina Faso.
Alijulikana kama Che Guevara wa Afrika kwa mrengo wake wa Kiujamaa, Kimarx na hata uvaaji wake akifananishwa na Mwanamapinduzi huyo wa Kiargentina.
Aliuwawa na rafiki yake wa karibu, Blaise Campaore.
Chema hakidumu, ila Compaole kakimbia nchi1987 - Thomas Sankara anauwawa.
Alikuwa ni Rais wa 5 wa Burkina Faso.
Alijulikana kama Che Guevara wa Afrika kwa mrengo wake wa Kiujamaa, Kimarx na hata uvaaji wake akifananishwa na Mwanamapinduzi huyo wa Kiargentina.
Aliuwawa na rafiki yake wa karibu, Blaise Campaore.
1971 - Andy " Andrew " Cole anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Newcastle United, Man Utd na timu ya taifa ya England.
Anakumbukwa zaidi wakati wake akiwa klabuni Man Utd alipotengeneza kombinesheni hatari na Dwight Yorke.
Asante sana kwa leo katika historia Mkuu mussolinLeo katika Historia:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Filikunjombe tukutane kesho.
Jumamosi njema.
1st anniversary R.I.P FILIKUNJOMBE2015 - Deo Filikunjombe anafariki Dunia katika ajali ya Helikopta.
Alikuwa ni mbunge wa Jimbo la Ludewa. Alifariki siku kadhaa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 nchini Tanzania.
Anatajwa kama Mbunge machachari katika Bunge lililopita na anakumbukwa sana kwa kuwa sehemu ya kamati ya Bunge iliyoundwa kuchunguza skandali ya Escrow kando ya Zitto Kabwe.
Akakutana na Cantona mwenye dharau.Didier akiwa uwanjani huwa hakati tamaa, anajua kupigana akiwa uwanjani
The Godfather kiko vizuri.View attachment 418315View attachment 418316View attachment 418317View attachment 418318View attachment 418319View attachment 418320
Nikipata muda nitavisoma mtandaoni
Vinavutia
........
Cantona alikuwa na zarau sana aiseeAkakutana na Cantona mwenye dharau.
Ahsante sana Dikteta wetuLeo katika Historia:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Filikunjombe tukutane kesho.
Jumamosi njema.
Nyakati zimekwenda wapi? Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita. Eti tulikuwa na Welbeck kama Straika.View attachment 418332View attachment 418334View attachment 418335
Waliogopwa km Ebola
Enzi hizo dozi inaanzia 3 hata wakitangulia kufungwa ushindi ni lazima
.....