Makapuku Forum

1999 - Julius Kambarage Nyerere anafariki Dunia.

Alikiwa ni Rais wa kwanza katika historia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Anajulikana kama Baba wa Taifa, ameongoza nchi hiyo kwa miaka 23 kabla ya kung'atuka na kumuachia Ali Hassan Mwinyi.

Ana mchangi mkubwa sana katika ukombozi wa Bara la Afrika hasa nchi za Kusini mwa Afrika.

Alifariki huko London katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas.
 
Mzee wa gold
 
Nyerere day
 
Apumzike vyema
 
Laiti angefanikiwa kumuua Hitler.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…