Makapuku Forum

Duh!! Ilikuaje hii ama ilipangwa??
Ilitokea kwa bahati mbaya.

Mfano leo hii Lowassa awe anahutubia pale Jangwani halafu sisi tupo huku Katavi tunaangalia hotuba ile live kwa kutumia luninga, ghafla akapigwa shaba akfa huku tukiona live.

Au kama ile siku JK alipodondoka jukwaani pale Jangwani, watu walikuwa wanaangalia kupitia Luninga hivyo ikazua taharuki kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…