NUKUU NO 1#
Ni vema kila taifa likafahamu, iwe ni taifa linalotutakia mema ama kinyume chake, kwamba tupo tayari kwa gharama yoyote
Kwa kubeba mzigo wowote, kwa kukabiliana na ugumu wowote, katika kuunga mkono au kupinga ili mradi tu kuhakikisha uhuru unatwaa nafasi yake popote
Maneno haya yalipata kutamkwa na aliyekuwa Rais wa Marekani, John Kennedy, January 20,1961
Kennedy alizaliwa Mei 29,1917 na kuuawawa November 22,1963
NUKUU NO 2#
Siasa mpya ya Bank ya Dunia ni kwamba maendeleo siyo tu majumba makubwa, viwanda vingi, magari mengi na fedha nyingi,
Bali ni umuhimu wa nchi kuona kuwa mali inagawanywa kwa haki na sawa kwa watu wote
Maneno haya yalipata kutamkwa na waziri wa fedha, David Msuya. October 2,1972 jijini Dar es salaam mara baada ya kurejea kutoka Uingereza na Marekani aliko hudhulia mikutano mbali mbali,
Msuya alizaliwa November 4,1931, amewahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania
NUKUU NO 3#
Kuna viongozi wanafiki na wala milungura na viongozi hao ni shida sana kuwagundua, kwani wakijua kwamba karibu wanagunduliwa wanakimbia.
Maneno haya yalisemwa na Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere,Jun 8,1969 wakati akifungua mkutano wa TANU
Ni kweli mkuuUliwahi kusikia kauli ya mzee wa chattle, kuwa nitamchagua huyu huyu, kwa kuwa mnamsema sana, kapuku iko juu hata wao wanalijua hilo
Aisee nilimruka kwenye leo ktk historia.
Happy birthday SIR BOBBY CHARLTON
79 YRS
......
Ukichaa wa kwamtogole umetokana harufu chafuHaha kuna ile route ya sinza-k/koo via kwa mtogole ni hatari [emoji3][emoji3][emoji3]... raia wamepinda na maisha,... Full ukichaa [emoji23][emoji23]
Sasa kichaa kipi?Haha lakini mkuu kichaa sio lazima aokote makopo mitaani
Naye kazidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona ndo kaamua kuifanya signature yake
Wanabishania uchaaaNawaona vichaa mnabishana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Ndiojamani kwema humu??
JFK alikuwa na vision kubwa sana. Vizuri havidumu.NUKUU NO 1#
Ni vema kila taifa likafahamu, iwe ni taifa linalotutakia mema ama kinyume chake, kwamba tupo tayari kwa gharama yoyote
Kwa kubeba mzigo wowote, kwa kukabiliana na ugumu wowote, katika kuunga mkono au kupinga ili mradi tu kuhakikisha uhuru unatwaa nafasi yake popote
Maneno haya yalipata kutamkwa na aliyekuwa Rais wa Marekani, John Kennedy, January 20,1961
Kennedy alizaliwa Mei 29,1917 na kuuawawa November 22,1963
Nani anaitwa akaubebe?????
Kwani kushangilia ndio ushindi?nasikia Yanga wanataka wamfukuze kocha
yaan wakifanya hivyo sitaishangilia hii timu mpaka 2026
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji736]Tetesi tu....tunashangilia time siyo kocha wala mchezaji
.......
Huku analala ofisinMchumi asiyejua kujiajiri
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Mmoja kati ya watu wawili tu katika historia ya Nchi hii kushika wadhifa wa Uwaziri Mkuu kwa vipindi viwili tofauti.NUKUU NO 2#
Siasa mpya ya Bank ya Dunia ni kwamba maendeleo siyo tu majumba makubwa, viwanda vingi, magari mengi na fedha nyingi,
Bali ni umuhimu wa nchi kuona kuwa mali inagawanywa kwa haki na sawa kwa watu wote
Maneno haya yalipata kutamkwa na waziri wa fedha, David Msuya. October 2,1972 jijini Dar es salaam mara baada ya kurejea kutoka Uingereza na Marekani aliko hudhulia mikutano mbali mbali,
Msuya alizaliwa November 4,1931, amewahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania
Sawa kichaa mwenzangu.Sina la ziada, nawatakieni siku maadhimisho mema ya siku ya vichaa