Makapuku Forum

Makapuku Forum

View attachment 415642View attachment 415643
6558bbdfd436efb97238a2c88ce436c2.jpg

Anayejua Kireno atafsiri
.......
Bob mbona hicho sio kireno ni kidutch...hiyo lugha iko familiar wanaongeaga sana watu wa Denmark.
 
NUKUU NO 2#

Wananchi pia walizungumzia hifadhi ya Jamii, hasa kwa wazee
Wanasema wafanyakazi wanamifuko ya hifadhi ya Jamii na mishahara yao inaongezwa kila wakati

Kwa wakulima, mapato yao ni madogo na wakizeeka hawana hifadhi yoyote.
Hata matibabu ya wazee sio bure kama utaratibu wa serikali unavyoelekeza, kwa shart wanunue dawa wakati uwezo wao wa kifedha ni mdogo

Maneno haya yalisemwa na aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba, jaji Joseph Warioba, katika hotuba yake kwenye bunge maalumu la katiba, Mach 2014
Mzee warioba![emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom