Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Mi Jukwaa langu kuu ni CHIT CHAT kabla sijajulikana nilitoa thread km 10 za swaga na hadi leo hazichuji .....nikaona hakuna haja ya kuanzishaanzisha thread ili masela tuwe tunapiga stori ndo likanijia wazo la kuanzisha kijiwe cha KAPUKU FORUM...Hapa tupo FREE kuongea kila ishuNaona wewe unapenda mimi sijawahi hata kuanzisha popote pale....zaidi ya haka ka segment humu KF
.....................