View attachment 415531View attachment 415532View attachment 415533
Hii tabia ya kusingiziana ushoga siyo nzuri.....wengi tunakerwa na ushoga
Inaongeza chuki na kushusha heshima ya mwanaume
Ndio maana Dikteta hasema tu alibishana na mzazi wake kuliko angemsingizia wkt hana uhakika
Nimesoma historia yake chanzo ni jina tu la GAY(shoga) ambalo ndo orijino inasemekana waliamua kuongeza E hivyo ikawa GAYE
Yy na mzee wake wote walihusishwa na ushoga kutokana na jina lao tu na hakuna MTU yoyote aliyewahi kuprove kwamba ni mashoga
Hata mimi binafsi mara ya kwanza kusikia jina la Marvin Gaye lilinipa ukakasi
.......