Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
1975 - Mark Viduka anazaliwa.
Ni mshambuliaji wa zamani wa Leeds United ,Newcastle United na timu ya taifa ya Australia.
View attachment 414921
Mzee wa vichwa na kuvizia
.......
1975 - Mark Viduka anazaliwa.
Ni mshambuliaji wa zamani wa Leeds United ,Newcastle United na timu ya taifa ya Australia.
Poa[emoji106]Leo ni birthday NOT deathday
Soma kwa makini utaelewa
1940 ni kuzaliwa
.......
Morning kitabumorning
1962 - Siku ya Uhuru wa Uganda.
Walipata Uhuru wao toka kwa Waingereza.
Sio yeye, ila mazingira ya Dunia ya sasaHuyu ndie anaetaka Wanaume tuwowane!!![emoji87] [emoji134]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] werrasonWerra : Mpenzi,kweli nakuhitaji naomba uwe wangu.
Kademu: Lol,samahani Nina boyfriend wangu.
Werra : Kweli ila Hata miamba ya Goli ina makipa lakini mastraika wanafunga.
Kademu : Haha,upo kama beki Sasa Katika hili.
Werra: Sergio Ramos ni beki lakini ana magoli mawili Katika Fainali za Ligi ya Mabingwa.
Kademu : Vyovyote,Boyfriend wangu ni mrefu na ni tajiri.
Werra : Sikia,Manuel Neüer ana Futi 6.4 Ila Messi bado anamfunga kwa kuchop.
Kademu : Sawa ila unajua Messi ni tajiri kuliko Neüer ?
Nina uhakika na hilo.
Werra: ni Kweli Lakini Messi Sio mrefu kama Neüer kwahiyo Hapo ni 1-1.
Kademu: Hujawahi Kukata tamaa wewe?
Werra: Chile wamecheza Mpira kwa miaka 99 bila kushinda Copa America,Lakini Wamekomaa na Wamelipata.
Kademu : Uelewa wako Wa soka Unaweza kukupatia nafasi sehemu.
Werra: Kabisa na Next destination ni kwenye Moyo wako.
Kademu : Jamani, Af Unajua nitakublock Sasa hivi [emoji35]
Werra : Mwaka 2006,Petr Cech alijaribu kumblock Stephen Hunt ili asifunge,Baadae Aliishia kuumia na nasfi yake.
Kademu: We ni Genius, NIPIGIE SAIZ,NIPO FREE.
Werra: NAKUFATA(Sipendagi Ujinga) [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Werra : Mpenzi,kweli nakuhitaji naomba uwe wangu.
Kademu: Lol,samahani Nina boyfriend wangu.
Werra : Kweli ila Hata miamba ya Goli ina makipa lakini mastraika wanafunga.
Kademu : Haha,upo kama beki Sasa Katika hili.
Werra: Sergio Ramos ni beki lakini ana magoli mawili Katika Fainali za Ligi ya Mabingwa.
Kademu : Vyovyote,Boyfriend wangu ni mrefu na ni tajiri.
Werra : Sikia,Manuel Neüer ana Futi 6.4 Ila Messi bado anamfunga kwa kuchop.
Kademu : Sawa ila unajua Messi ni tajiri kuliko Neüer ?
Nina uhakika na hilo.
Werra: ni Kweli Lakini Messi Sio mrefu kama Neüer kwahiyo Hapo ni 1-1.
Kademu: Hujawahi Kukata tamaa wewe?
Werra: Chile wamecheza Mpira kwa miaka 99 bila kushinda Copa America,Lakini Wamekomaa na Wamelipata.
Kademu : Uelewa wako Wa soka Unaweza kukupatia nafasi sehemu.
Werra: Kabisa na Next destination ni kwenye Moyo wako.
Kademu : Jamani, Af Unajua nitakublock Sasa hivi [emoji35]
Werra : Mwaka 2006,Petr Cech alijaribu kumblock Stephen Hunt ili asifunge,Baadae Aliishia kuumia na nasfi yake.
Kademu: We ni Genius, NIPIGIE SAIZ,NIPO FREE.
Werra: NAKUFATA(Sipendagi Ujinga) [emoji23][emoji23]
Werra king'ang'anizi!!Werra : Mpenzi,kweli nakuhitaji naomba uwe wangu.

KF inaongza kwa views wengi katika kipindi kifupi..... ipo thread ya African satellite world ina 2M lkn ya kitambo sanaApril 9 - Leo ni Miezi Sita ya Makapuku.
Tumepiga hatua kubwa ndani ya miezi sita hii, Anayeongiza kwa Like nyingi ni Kapuku JJ ambaye ana Like kama 80K.
Thread yenye views wengi ndio hii, Yenye comments nyingi ndio hii ambapo ni zaidi ya 100K.
Hakika Makapuku forum, ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo kwani hapa ni kisima cha maarifa kwa uwepo wa segment mbalimbali zinazotufanya tujifunze mambo mapya kila kukicha.
Heri ya maadhimisho ya Nusu mwaka kwa Makapuku wote.
haaaaaaaa haaaaWerra : Mpenzi,kweli nakuhitaji
Werra : Mwaka 2006,Petr Cech alijaribu kumblock Stephen Hunt ili asifunge,Baadae Aliishia kuumia na nasfi yake.
Kademu: We ni Genius, NIPIGIE SAIZ,NIPO FREE.
Werra: NAKUFATA(Sipendagi Ujinga) [emoji23][emoji23]
ivi inahusu nini huwa sielewiKF inaongza kwa views wengi katika kipindi kifupi..... ipo thread ya African satellite world ina 2M
.....................
nini tena unaleta?
Huo mche unamsumbuanini tena unaleta?
Mambo ya madish n.kivi inahusu nini huwa sielewi
Dawa hiyo mkuunini tena unaleta?