Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Leo katika Historia:
1967 - Ernesto Che Guevara anauwawa huko Bolivia.
Ni siku moja baada ya kukamatwa na Jeshi la Nchi hiyo, anauwawa baada kuteswa kwa takribani masaa 24.