Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
huwa naingia sielewi ngoja nikaitafakariMambo ya madish n.k
Nenda jukwaa la Tech utaelewa huko tena nahisi ni STICKY
.......
huwa naingia sielewi ngoja nikaitafakariMambo ya madish n.k
Nenda jukwaa la Tech utaelewa huko tena nahisi ni STICKY
.......
Werra : Mpenzi,kweli nakuhitaji naomba uwe wangu.
Kademu: Lol,samahani Nina boyfriend wangu.
Werra : Kweli ila Hata miamba ya Goli ina makipa lakini mastraika wanafunga.
Kademu : Haha,upo kama beki Sasa Katika hili.
Werra: Sergio Ramos ni beki lakini ana magoli mawili Katika Fainali za Ligi ya Mabingwa.
Kademu : Vyovyote,Boyfriend wangu ni mrefu na ni tajiri.
Werra : Sikia,Manuel Neüer ana Futi 6.4 Ila Messi bado anamfunga kwa kuchop.
Kademu : Sawa ila unajua Messi ni tajiri kuliko Neüer ?
Nina uhakika na hilo.
Werra: ni Kweli Lakini Messi Sio mrefu kama Neüer kwahiyo Hapo ni 1-1.
Kademu: Hujawahi Kukata tamaa wewe?
Werra: Chile wamecheza Mpira kwa miaka 99 bila kushinda Copa America,Lakini Wamekomaa na Wamelipata.
Kademu : Uelewa wako Wa soka Unaweza kukupatia nafasi sehemu.
Werra: Kabisa na Next destination ni kwenye Moyo wako.
Kademu : Jamani, Af Unajua nitakublock Sasa hivi [emoji35]
Werra : Mwaka 2006,Petr Cech alijaribu kumblock Stephen Hunt ili asifunge,Baadae Aliishia kuumia na nasfi yake.
Kademu: We ni Genius, NIPIGIE SAIZ,NIPO FREE.
Werra: NAKUFATA(Sipendagi Ujinga) [emoji23][emoji23]
Mambo niajeeeZa muchana makapuku???
Mkuu utakuwa ras weweHiiiii kitu naipenda sana na hakuna wa kunitenganisha nayo labda Mungu pekee [emoji12][emoji12]
Walitamba sana. Leeds ilikuwa timu sumbufu EPLViduka /Smith utawapenda sana enzi hizo Leeds
Juu zaidi.Makapuku juu!!!!!!
Naona hiyo picha ya mwisho jamaa anajutia matendo aliyoyafanya.
asante kwa marekebisho.Mkuu itakuwa anazaliwa typing error
Sawa Mkuu
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106][emoji106][emoji106]Merci le dictateur
Ahsante mkuu JJ.View attachment 414899View attachment 414905
Kwa hisani ya miezi 6 ya Makapuku forum mimi sina la ziada
Niite Jimena Jimenes
Ciao
Ndio huyohuyo.Huyu ndie anaetaka Wanaume tuwowane!!![emoji87] [emoji134]
hahahaa...umetisha.Werra : Mpenzi,kweli nakuhitaji naomba uwe wangu.
Kademu: Lol,samahani Nina boyfriend wangu.
Werra : Kweli ila Hata miamba ya Goli ina makipa lakini mastraika wanafunga.
Kademu : Haha,upo kama beki Sasa Katika hili.
Werra: Sergio Ramos ni beki lakini ana magoli mawili Katika Fainali za Ligi ya Mabingwa.
Kademu : Vyovyote,Boyfriend wangu ni mrefu na ni tajiri.
Werra : Sikia,Manuel Neüer ana Futi 6.4 Ila Messi bado anamfunga kwa kuchop.
Kademu : Sawa ila unajua Messi ni tajiri kuliko Neüer ?
Nina uhakika na hilo.
Werra: ni Kweli Lakini Messi Sio mrefu kama Neüer kwahiyo Hapo ni 1-1.
Kademu: Hujawahi Kukata tamaa wewe?
Werra: Chile wamecheza Mpira kwa miaka 99 bila kushinda Copa America,Lakini Wamekomaa na Wamelipata.
Kademu : Uelewa wako Wa soka Unaweza kukupatia nafasi sehemu.
Werra: Kabisa na Next destination ni kwenye Moyo wako.
Kademu : Jamani, Af Unajua nitakublock Sasa hivi [emoji35]
Werra : Mwaka 2006,Petr Cech alijaribu kumblock Stephen Hunt ili asifunge,Baadae Aliishia kuumia na nasfi yake.
Kademu: We ni Genius, NIPIGIE SAIZ,NIPO FREE.
Werra: NAKUFATA(Sipendagi Ujinga) [emoji23][emoji23]
Siku hizi wanakufa njaa, watu hatutumia barua kwa wingi kama zamani.
Amen Kubwa lao.KF inaongza kwa views wengi katika kipindi kifupi..... ipo thread ya African satellite world ina 2M lkn ya kitambo sana
Thread inaongoza kwa replies lakini isitufanye tupostpost tu hata makororokoro ili ijae(IT IS NOT A DUSTBIN FORUM) Km mtu hana swaga asituchafulie kijiwe chetu cha kijanja
Mambo ya kujibujibu masalamu X 7 ,kuquote post 1 mara mbili,kujisemeshasemesha tu n.k ili apate LIKES.......... TUYAACHE YANABOA
Pia naona kuna kasi ya watu kuacha segment zao japo daily wapo hapa hapa nahisi wamejisahau.....Pia na wengine jitahidini mbuni vitu maana vipo vingi tu vya kuleta
Mwisho
KF ilikuwepo,ipo na itaendelea kuwepo haimtegemei fulani hivyo ni jukumu la wote kuiboresha ili iwe ya kijanja zaidi
.....................
Mambo niajeee
Mkuu utakuwa ras wewe
Ilikuwa hatari sanaWalitamba sana. Leeds ilikuwa timu sumbufu EPL