Makapuku Forum

Yaani!!!.....sijui tuna shida gani!!!
Historia yetu imewazima na kuwasahau watu wengi sana katika Taifa hili eti tu labda walitofautiana na Waasisi wa Taifa hili kipindi hiko.

Mchango wa Oscar Kambona umesahaulika kabisa. Bila Kambona, mwalimu asingeendelea kuwa Rais wakati Jeshi lilipoasi Mwaka 1964 na Mwalimu kuamua kujificha zake Kigamboni akishindia mapapai.

Ni aibu sana kwa Taifa kuwasahau watu wa aina ya Kambona, Jumbe na wengineo.
 
Kama walivyomsahau sokoine huwezi amini
 
Tena ni upumbavu uliotukuka!!
 
Jana Dida na leo Didi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…