1981 - Zlatan Ibrahimovic.
Mshambuliaji wa zamani wa Ajax, Ac Milan, Inter Milan, Juventus, Barcelona, PSG na kwasasa Man Utd.
Ni mshambuliaji wa aina yake mwenye majivuno, sifa na ambaye mara nyingi hufunga magoli ya uwezo binafsi na ya kukumbukwa. Hujulikana kama Ibra Kadabra.
Alichemsha akiwa Barcelona, kutokana na kutoelewana na kocha.
Kwasasa amestaafu kuchezea timu ya taifa ya Sweden.
1981 - Zlatan Ibrahimovic anazaliwa.
Mshambuliaji wa zamani wa Ajax, Ac Milan, Inter Milan, Juventus, Barcelona, PSG na kwasasa Man Utd.
Ni mshambuliaji wa aina yake mwenye majivuno, sifa na ambaye mara nyingi hufunga magoli ya uwezo binafsi na ya kukumbukwa. Hujulikana kama Ibra Kadabra.
Alichemsha akiwa Barcelona, kutokana na kutoelewana na kocha.
Kwasasa amestaafu kuchezea timu ya taifa ya Sweden.
Poleni sana mussolin, Mungu awatangulieJamani nimepata msiba, nimefiwa na baba yangu mkubwa jana, tunazika leo Tanga. Nipo safarini kuwahi mazishi.
1983 - Fred anazaliwa.
Ni mshambuliaji wa Brazil ambaye alikuwepo kwenye timu ya taifa ya Brazil iliyocheza kombe la Dunia katika ardhi ya nyumbani.
1986 - Jackson Martinez anazaliwa.
Ni mshambuliaji wa zamani wa Porto, Atletico Madrid na sasa anacheza ligi ya china.
Pia hucheza timu ya taifa ya Colombia.
1838 - Black Hawk anafariki.
Alikuwa ni kiongozi wa kikabila nchini Marekani.
POLE SANAJamani nimepata msiba, nimefiwa na baba yangu mkubwa jana, tunazika leo Tanga. Nipo safarini kuwahi mazishi.
Pole sana! Mbele yake nyuma tunamfatia... tanga sehemu gani?Jamani nimepata msiba, nimefiwa na baba yangu mkubwa jana, tunazika leo Tanga. Nipo safarini kuwahi mazishi.
MorningMorning all
Thanks Jimena JimenezView attachment 411248View attachment 411249
Asante sana na muwe na siku njema na wiki nzuri yenye mafanikio
Naitwa Jimena Jimenes
Adios Amigo
Pole kwa msiba ndugu Musso, safari njemaJamani nimepata msiba, nimefiwa na baba yangu mkubwa jana, tunazika leo Tanga. Nipo safarini kuwahi mazishi.
Pole sana Mussolin5, Mungu akutie nguvuJamani nimepata msiba, nimefiwa na baba yangu mkubwa jana, tunazika leo Tanga. Nipo safarini kuwahi mazishi.
Asante mkuu kwa Leo katika historia orijinoLeo katika Historia:
Kwa hisani ya Ibrahimovic aka Ibra Kadabra, niwatakie Jumatatu njema.
Pole sana kwa msiba. Na apumzike kwa amani baba mkubwaJamani nimepata msiba, nimefiwa na baba yangu mkubwa jana, tunazika leo Tanga. Nipo safarini kuwahi mazishi.
Yeah sikuwa nimeona kama Musso ameanzaAsante sana kwa magazeti ya leo Ankali JJ
Japo umechanganya madesa
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
Kwani kuna feki?Asante mkuu kwa Leo katika historia orijino
Yeah toka kwa mchawiKwani kuna feki?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
"Leo zamani"Yeah toka kwa mchawi