Makapuku Forum

Itakua tu alinyamazishwa mana roma nako kuna kaumafia
 
Asante sana The book
 
Hiyo 9 na 10 hapo sijaangalia bado afu sijui haya mauzo yanatokana na nini hasa mana kuna movie nyingi tu kali zaidi hizo lakin hazimo kwenye hiyo list ya mauzo
 
Alinyamazishwa na nani na kwa sababu zipi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…