Makapuku Forum

Wajinga waliotuignore mwanzo halafu wakatucheka baadaye wakaanza kupambana na sisi kwa kuanzisha Vingongo forum na thread za kutuponda lakini mwisho TULIWASHINDA

angalia ht sasa kale kathread hapo pembeni wanatusema vibaya utafikiri hawajawahi kuliona zuri hata 1 humu...wanafiki tu hao kutwa nzima wana ingia humu kusoma maujanja halafu wanazuga kuponda
Tuwapotezee siyo level yetu
............
 
Hata huku tuko nao wengi tu, wameamua kujileta kitofauti
 
wanaingia kila muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…