Makapuku Forum

Leo Katika Historia Orijino:

Ni siku ya Kimataifa ya Utalii.
Leo yatupasa kwenda kutalii.. Nilikuwa siijui hii siku.. Next year ntajipanga nikatalii siku kama ya leo roho ikiwa hai inshaallah..

Ila serikali inapaswa kuitazama siku kama hii kuboresha utalii nchin.. Leo ilibid kuwe na ofa za kutosha..
 
Awful
 
Mfalme wa roma.. Jamaa anaheshima sana jiji lile.. Kama unahitaji kufa usihangaike kunywa sumu.. Nenda roma ktk stadio olympico kamtusi totti.. Ukipona hufi leo wala kesho..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…