Makapuku Forum

1976 - Francesco Totti anazaliwa.

Ni kepteni wa Klabu ya A.S Roma ya Nchini Italia.

Alikuwa ni sehemu ya kikosi cha Timu ya Taifa ya Italy kilichotwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia la Mwaka 2006 pale Ujerumani.

Anachukuliwa kama mchezaji bora wa wakati wote katika klabu ya Roma, kwani amechezea klabu hiyo hiyo tu na wala hajawahi kuhama.

Wanasema baada Papa, anayefata kwa Umaarufu ndani ya Jiji la Roma ni Francesco Totti.

Pia hujulikana kama, " El Capitano De La Roma. "
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…