Makapuku Forum

Mweh! mweh! mweh![emoji134]
Sawa
Sidhani kama atajibu

Yeye huyo ndio anafaa sasa, ni kijana mwema sana kwakweli...sahivi yuko single.

Mhhhh si ulisema mabinti wenzangu? nkajua we ni dada...lakini mbona humu wanakuja wanaume tu!!!??[emoji15][emoji15][emoji15]. Bitoz badili jina nakwambia wadada wamwagike humu hiyo Kapuku inawatisha mabinti nilisema mimi. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…