Makapuku Forum

Mzee wa Chatle kapata sababu..haendi ziarani zambia
Hata kama angeenda napo ni yale yale: kakimbia maafa nyumbani mwake. Haiwezekani kumfurahisha kila binadamu kwa wakati wote hasa Mtanzania aliyejaliwa kipaji cha ajabu katika taaluma tata ya kulalamika tena dhidi ya kila jambo liwe jema au baya!
 
Jambo jema lililolalamikiwa ni kama lipi? Tuanzie hapo kwanza
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…