Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Ahsante kwa Magazeti bibie!!
Vip hali ndugu yangu!!?Morning makaveli
kila niionapo picha ya JFK huzuni hunijia. Apumzike kwa amani.View attachment 398585View attachment 398588View attachment 398589
Demu kaolewa na ukoo wenye nux
........
1974 - Mfalme Haile Selassie wa Ethiopia anapinduliwa madarakani katika kile kilichoitwa Mapinduzi ya Kijeshi, na kumaliza utawala wake wa miaka 58 madarakani kama kiongozi wa Nchi hiyo.
Nishastaafu..PIGA PULI
R.i.p paul walker1973 - Paul Walker anazaliwa.
Ni actor na muongozaji wa filamu toka nchini Marekani.
Alinipatia Umaarufu katika filamu za Fast and Furious.
Alifariki Dunia mwaka 2013 kwa ajali ya gari.
1977 - Mwanaharakati toka Afrika Kusini, Steve Biko anauwawa na polisi wa nchi hiyo baada ya kukamatwa na kuteswa .
Anabaki kama shujaa wa nchi hiyo kando ya Nelson Mandela, Desmond Tutu, Oliver Tambo.
1913 - Mwanariadha Jesse Owens anazaliwa.
Alikuwa ni mwanariadha mahiri toka nchini Marekani.
Alifanya maajabu katika michezo ya Olimpiki iliyofanyika pale Berlin nchini Ujerumani mwaka 1936.
Krb tena
Utaelewa tuSielewi chochote
UmopoteaBitoz Nimewasili!. Makapuku 4 Big & Valuable Ideas!
Yes we are livingnaona movement imeshika kasi sanaaa hope mods wataskiaaaalong live makapuku
Ulifia wap we kapuku?Muweka hazina nipo
1973 - Paul Walker anazaliwa.
Ni actor na muongozaji wa filamu toka nchini Marekani.
Alinipatia Umaarufu katika filamu za Fast and Furious.
Alifariki Dunia mwaka 2013 kwa ajali ya gari.
Hop unapitaga kimya kimya na kuthibitisha mwenyewe
Nikiwa na hakili timamu pasipo kushawishiwa na mtu yeyotee mimi dekitambi natangaza rasmi kuwa nimejiunga rasmi na Timu MAKAPUKU
JAMMII FORUM nisaidieee
Over..
Wellcome back homeWengi Jamii Forums wanajifanya bab kubwa sijui kama utawapata. Mie bwana ni zaidi ya Kapuku hivyo hapa niko home.
Duuhkila niionapo picha ya JFK huzuni hunijia. Apumzike kwa amani.
Tuko poa, karibu ujioneehabari za leo kapuku!
Sidhani kama na wewe ulikuwa mmoja wa hao waliokumbukwaMwe tumekumbukwa na sisi
Mwenye macho haambiwi angaliaMakapuku mpooo