Mukongo unadhani?? wala! wasichana tuko wachache humu ndio maana! waje na wengine uone kama nitapendwa. Nadhan hilo neno kapuku limewakimbiza wanadhani wanaume wa humu Wallet hazisomi. Wanawake wenzangu Mungu anawaona
Nachompendea Queen Latifah....Ni muimbaji japo sikuhiz nadhan hayupo sana huko, ni actor wa movies, pia ni Comedian mzuri tu na mambo ya fashion pia anafanya...yani ana vipaji double double.