Nikiskia huyo jamaa ni profesa huwa naona ni bora mie ambaye sijasoma asee, anatia kichefuchefu sana anaaibisha maprofesa wenzieProf liPUMBA anatafuta kick eti "sing'ang'anii nimeombwa"
Sasa km kaombwa halafu uongozi umemchunia zen kakomaa tu...je sio kung'ang'ania huko?
STUPIDITY
....................
Sasa unitambulisheHaaaahaaaa jirani
Ndio inapatikana Hollywood
Angalia tu usimuacheHuyu bibi hafi nadhani
Kazi wako sasaSilagi sembe...nakula ugali wa udaga na dona.
Alitufunga goli moja la hatari kwenye Uefa pale OT.Fundi
Huo moyo wa kwangu?Zipo poa sijui za kwako?
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Haina mbaya bablai
Hizo huwa ni hisia tuWanasema eti usipokuepo kwenye pombe wala fegi lazima utakuepo kwenye [emoji160][emoji160][emoji160] hivi ni kweli??
100%Wanasema eti usipokuepo kwenye pombe wala fegi lazima utakuepo kwenye [emoji160][emoji160][emoji160] hivi ni kweli??
Kuna mambo ya kifamilia yanatuweka bize kimtindo, utatuona tu usijaliNiliwamiss sana jana
Niko gado mkuu. KaribuNi poa sana, niaje pande hizo?
Chizi maarifa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mkuu briz vp uko poaMorning fellaz!
Hata sipajui shemNikajua labda bando maana pale si unaangalia moja kwa moja
Dikteta...
[emoji106][emoji106]Hata mimi nalijua hilo [emoji2][emoji2][emoji2]
Hata wachina wanasema hivyoTatizo mnasikiliza sana propaganda za magharibi
We unauona na jina la nani?Huo moyo wa kwangu?
1985 - Luca Modric anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Spurs kwasasa anakipiga Real Madrid na timu ya taifa ya Croatia.