Bila shaka hili fumbo lako mpaka kulielewa inakubidi unywe Pombe sanaaa mpaka ulewe.FIX ZA ST BITOZ:
hapo juzijuzi kulikuwa na Nyumba moja ya tajiri ambaye alikuwa na wafanyakazi 20 + vijakazi hewa maisha yalikuwa poa akawa anawalipa mishahara mdogo lakini mambo yalisonga
Sasa baada ya kufariki Nyumba ikarithiwa na mdogo wake ambaye ni bahili na mpenda sifa..akaja na Sera ya kubana matumizi na kuvisaka vijakazi hewa...akapunguza kutoka watumishi 20 hadi kuwa 7 tena bila kuajiri wapya...akakurupuka tena kwa kuwazuia wasiende nyumba za jirani
Now mkurupukaji kagundua mambo magumu pesa hakuna halafu mshahara anaowalipa hao 7 ni mkubwa kuliko wale 20 wa zamani....now anamsaka Mchawi
NB;
ni fumbo km hujaelewa kunywa togwa ulale usinisumbue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
***********************
Bila shaka hili fumbo lako mpaka kulielewa inakubidi unywe Pombe sanaaa mpaka ulewe.
Tena ukiwa unakunywa usimsahau na rafiki yako Joseph.
NB: kabla ya kunywa pombe usisahau kufunga nyumba yako kwa kufuli.[emoji359]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Acha ninywe tu maana hamna namna sasaFIX ZA ST. BITOZ:
hapo juzijuzi kulikuwa na Nyumba moja ya tajiri ambaye alikuwa na wafanyakazi 20 + vijakazi hewa maisha yalikuwa poa akawa anawalipa mishahara mdogo lakini mambo yalisonga
Sasa baada ya kufariki Nyumba ikarithiwa na mdogo wake ambaye ni bahili na mpenda sifa..akaja na Sera ya kubana matumizi na kuvisaka vijakazi hewa...akapunguza kutoka watumishi 20 hadi kuwa 7 tena bila kuajiri wapya...akakurupuka tena kwa kuwazuia wasiende nyumba za jirani
Now mkurupukaji kagundua mambo magumu pesa hakuna halafu mshahara anaowalipa hao 7 ni mkubwa kuliko wale 20 wa zamani....now anamsaka Mchawi
NB;
ni fumbo km hujaelewa kunywa togwa ulale usinisumbue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
***********************
International airpot
Umefika mbinguni au wapi?View attachment 395854
Hatimae nimefika
makapuku tumevunja rekodi ..1k
Kweli hili toroli maana haya matairi hayajui kuingia ndani
Asia hukuUmefika mbinguni au wapi?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
YamechemelewaKweli hili toroli maana haya matairi hayajui kuingia ndani
[emoji89] [emoji89] [emoji89] [emoji89] [emoji89]
Maana Jana alikeshaBora ulale tu
....
...
KuzimuUmefika mbinguni au wapi?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]Kweli hili toroli maana haya matairi hayajui kuingia ndani
[emoji89] [emoji89] [emoji89] [emoji89] [emoji89]
[emoji35] alafu wameuziwa 2 billion us dollarYamechemelewa
a.k.a tumeliwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........