Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,738 Reaction score 12,428 Apr 15, 2016 #9,881 Linamo said: Duh utakuwa kunguru Sana wewe Click to expand... kwanini mpenzi
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 15, 2016 #9,882 PNC 1 said: ha ha ha ha ha umeua mkuu Ni kweli mkuu Click to expand... Wewe. Ngoja uone hahahaha tunaisubiri hiyo 10000 kwa sana
PNC 1 said: ha ha ha ha ha umeua mkuu Ni kweli mkuu Click to expand... Wewe. Ngoja uone hahahaha tunaisubiri hiyo 10000 kwa sana
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 15, 2016 #9,883 Th Name said: Na Leo kabla ya 20:30 tunafikisha post 10000 view ndo kubwa zaidi. Kujipongeza muhimu sana Leo maana weekend ndo imeanza hivyo Click to expand... Inabidi tugonge champagne
Th Name said: Na Leo kabla ya 20:30 tunafikisha post 10000 view ndo kubwa zaidi. Kujipongeza muhimu sana Leo maana weekend ndo imeanza hivyo Click to expand... Inabidi tugonge champagne
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,400 Apr 15, 2016 #9,884 youngblood said: Wewe utapagawa. Click to expand... Kwa mzigo wacha nipagawe tu
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Apr 15, 2016 #9,885 aggyjay said: nipo mkuu.. Click to expand... Karibu sana, unataarifa kuwa amaizing na manuu watafunga ndoa hiv karibuni!
aggyjay said: nipo mkuu.. Click to expand... Karibu sana, unataarifa kuwa amaizing na manuu watafunga ndoa hiv karibuni!
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 15, 2016 #9,886 youngblood said: Inabidi tugonge champagne Click to expand... Itabidi tufanye hivyo
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 15, 2016 #9,887 jambilo said: Youngblood na eden kimario acheni kujadili maumbo ya dada zetu jukwaa hili ni la makapuku wote hatubaguani na itikadi hazipo alaaa!! Click to expand... mkuu sio mimi.
jambilo said: Youngblood na eden kimario acheni kujadili maumbo ya dada zetu jukwaa hili ni la makapuku wote hatubaguani na itikadi hazipo alaaa!! Click to expand... mkuu sio mimi.
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 Apr 15, 2016 #9,888 sumbai said: Yupo wapi ibra87 youngblood damtanzania Th Name EMMYGUY tukae.... Ila Mimi nimesha weka kura yangu ya hapanayes Click to expand... Mmmhhh Mkaka wa watu ata commit suicide
sumbai said: Yupo wapi ibra87 youngblood damtanzania Th Name EMMYGUY tukae.... Ila Mimi nimesha weka kura yangu ya hapanayes Click to expand... Mmmhhh Mkaka wa watu ata commit suicide
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Apr 15, 2016 #9,889 jambilo said: Pnc mzima! Click to expand... Mkuu swalama???????
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 Apr 15, 2016 #9,890 Th Name said: Wewe. Ngoja uone hahahaha tunaisubiri hiyo 10000 kwa sana Click to expand... Tuko hapahapa tukitaka kuidhihirishia JF na wakongwe wake kuwa MAKAPUKU FORUM ni zaid ya jukwaa
Th Name said: Wewe. Ngoja uone hahahaha tunaisubiri hiyo 10000 kwa sana Click to expand... Tuko hapahapa tukitaka kuidhihirishia JF na wakongwe wake kuwa MAKAPUKU FORUM ni zaid ya jukwaa
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 7,043 Reaction score 12,527 Apr 15, 2016 #9,891 Hii mvua inafanya sifa, hadi mawasiliano yanakatika .. manuu said: Tulia sasa usijeharibu ongea naye kwa heshima na kumuonyesha kuwa kapata kilicho chema .. Click to expand... mbona kama una mgwaya sana? au hamuendani
Hii mvua inafanya sifa, hadi mawasiliano yanakatika .. manuu said: Tulia sasa usijeharibu ongea naye kwa heshima na kumuonyesha kuwa kapata kilicho chema .. Click to expand... mbona kama una mgwaya sana? au hamuendani
Nahrene JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 938 Reaction score 2,908 Apr 15, 2016 #9,892 youngblood said: Inabidi tugonge champagne Click to expand... Unaonaje tukinunua 3 za kwanza sweety
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Apr 15, 2016 #9,893 youngblood said: Inabidi tugonge champagne Click to expand... Damu changa....VIP?? Hujambo.. Nahrene mzima??
youngblood said: Inabidi tugonge champagne Click to expand... Damu changa....VIP?? Hujambo.. Nahrene mzima??
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 15, 2016 #9,894 PNC 1 said: Tuko hapahapa tukitaka kuidhihirishia JF na wakongwe wake kuwa MAKAPUKU FORUM ni zaid ya jukwaa Click to expand... Mbona wataelewa tu. Makapuku forum ni zaidi ya jukwaaaaaaaa
PNC 1 said: Tuko hapahapa tukitaka kuidhihirishia JF na wakongwe wake kuwa MAKAPUKU FORUM ni zaid ya jukwaa Click to expand... Mbona wataelewa tu. Makapuku forum ni zaidi ya jukwaaaaaaaa
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 15, 2016 #9,895 sumbai said: Ha haaa.. Jimena anakitambii...balaaa...cha bia...... Click to expand... Mkuu Jimena namjua hana hizo vitu Au unataka nitupie kapicha?
sumbai said: Ha haaa.. Jimena anakitambii...balaaa...cha bia...... Click to expand... Mkuu Jimena namjua hana hizo vitu Au unataka nitupie kapicha?
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 Apr 15, 2016 #9,896 Th Name said: Wewe. Ngoja uone hahahaha tunaisubiri hiyo 10000 kwa sana Click to expand... Haifiki SAA 22:30 itakuwa imetimia kaka
Th Name said: Wewe. Ngoja uone hahahaha tunaisubiri hiyo 10000 kwa sana Click to expand... Haifiki SAA 22:30 itakuwa imetimia kaka
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Apr 15, 2016 #9,897 sumbai said: Mkuu swalama??????? Click to expand... Swalama mkuu!!! Salamu hii ya kawaida kweli mkuu???
sumbai said: Mkuu swalama??????? Click to expand... Swalama mkuu!!! Salamu hii ya kawaida kweli mkuu???
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,228 Reaction score 39,956 Apr 15, 2016 #9,898 Oyaa sukumeni buku ten iz around
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 15, 2016 #9,899 amaizing said: Haifiki SAA 22:30 itakuwa imetimia kaka Click to expand... Tuongeze kasi tu
HOPECOMFORT JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 3,926 Reaction score 6,669 Apr 15, 2016 #9,900 Poleni na kazi