Makapuku Forum

Pengine ni kweli usemacho braza lakin mapenzi ya kupendwa tu bila kupigania huwa hayanogi bana, endelea tu kukomaa mbona mtoto anakuelewa sana.. Quigley hawezi kuwa kizuizi namna hiyo afu cha kugombania siku zote ndo kitam man
 
Haya nenda bibie.. Nakutakia kila la kheri kwenye maisha yako, mungu akuongoze, akuepushe na kila lenye shari...

One thing u must know"i aint mad at cha"... Wish u all the best, sikuchukii, ukikwama usihofie kunitafta..

Nakupa last hug.
Duuu ndio yamewafika hapa???
I feel sorry kwa my twin sis sweetiepie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…