Plz twende nikufikshe nyumbani..
Sawa...Say goodbye
Costa kazaliwa brazili ila kakulia sana hispaniaSwali jepesi tu fundi eden.. Hiv costa kazaliwa wapi!!?
Am very sorry, sina jinsi, nakupa maisha yale unayoyataka, acha nikuache huru uishi maisha yako, jambo zuri niwezalo kulifanya kwa mwanamke nimpendae ni kumpa ile furaha ya moyo wake, furaha ya maisha yake.. I cnt hold u no mo.. Its the time to giv u a happiness.hii imenitouch sana
HahahaaaTuliyamaliza
Ww unalianzisha tena hujui yule ana damu ya bluu
Mtabishana wenyewe
..........
No! Si rahisi, trust me, huwez rudisha muda. Imetosha cwt p, Hakuna kitakachoweza kunibalisha kwa sasa, nakupenda kwa dhat thats y nakupa nafasi uishi maisha yako, nilikupenda, nakupenda, n ntazid kukupenda, every step u step, u wl b stepping with my love, mapenz yangu kwako yalikuwa ya ukweli naona may b hukujua..Twende rum basi ukani hug huko au?
Kafie mbele ya safari huko..Mnafiki tu ww
Sitaki pongezi yako
............
Bonge la rythm, huyu jamaa anajua sanaBryan Adams in Concert: (Everything I Do) I Do It…:
Kuna makosa inafikia hatua moja inakuwa sawa na 490..Samehe saba mara sabini
Shukrani shemelaBryan Adams, Have You Ever Really Loved a Woman, …:Asanteni...mlikuwa nami Sweetiepie kwa hisani kubwa ya Beyonce na Jigaa , nawapenda wote na nawatakia j.pili njema na weekend njema!
Salute kwao pia mkuuEeh bhana ndio, uzi unasereka mpaka salute
Acha mambo yako shululu si unajua smartphone hiziKumbe ulala na siyo ulaya, hapo tupo sawa
Unapewa number na dem alaf
anakuambia uwe unampigia saa 6 usiku pekee,
unashindwa na unajiuliza ni kwanini? kidogo kidogo
ukichunguza na unagundua amekusave
"alarm".......
Robert Mugabe.
Nalijua hilo sana tuMaana JJ kafa kaoza hapo
Basi jibu unaloCosta kazaliwa brazili ila kakulia sana hispania
Uko sahihi kabisa mkuuJecha anastahili kunyongwa kwa kuhatarisha amani na sio tuzo
Hahaha afu hata akishtuka na ku-edit watu tunakua tushai quoteKuna siku tu utajisahau utaturushia sura yako ya kweli...kijana wa mujini....
Kwa hiyo kadanganya umri? Siamini katika hilo hiyo tabia iko africa tuBasi jibu unalo
Kaishaamua kitambo, sema tu Quigley ni kibiriti ngoma