makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,024
- 104,632
Chato ya tanga atiiWa chato hatung'atiko hivo
Mimi tena, zote zimebamba sana kwa upande wanguNaomba nione Top 5 yako hapo Makaveli na Shululu
Usingizi umekata ringi mpenz!! Toka saa 9 usikuNini shida my darling
Karibu mpenz.. I cnt wait jaman malkia wangu..Najaaa
AhsantePole yako
Be without uNaomba nione Top 5 yako hapo Makaveli na Shululu
Huyo Seal wimbo wake huwa ni ringtone yangu aisee kuna ka kipande huwa nakapenda "You became the light of the darkside of me".Zote zimetisha sana
Poyee wewe ungeniamsha tu lakini tukeshe wote.Usingizi umekata ringi mpenz!! Toka saa 9 usiku
Dyudyu ameukumbatia usingiz woteAnashindwaje kulala na kaubariki haka ka milimani
Du we ni nomaa umechomekea hapo hapo na maneno ya FantasiaKaribu mpenz.. I cnt wait jaman malkia wangu..
When i c u... Fantasia anahusika
Tumekutana..Mi napenda kufurahi
Yani hapo inaonyesha pole yako wewe ambae hukupata usingizi ila yeye aliuchapa tu kisawasawa.Ahsante
Japo sijajua pole yako ni pole kweli au pole ya kunisakama..
Bagua tu.. Hata sisi zote zimetubamba, nawe zibambe hvyo hvyo.Mimi tena, zote zimebamba sana kwa upande wangu
Be without u
Im ur angel
Let me love u
No diggity.
When i see u.
Hapo swafi kabisa
Huyo Seal wimbo wake huwa ni ringtone yangu aisee kuna ka kipande huwa nakapenda "You became the light of the darkside of me".
Hhmm.. Nilikuonea huruma mpenz, ulikuwa umechoka sana. Umelala km mfuu, top vibes ya cobblepots nyimbo zote 13 nimeplay hata kutikisika.. Nikaona nikuache chiamii changu.Poyee wewe ungeniamsha tu lakini tukeshe wote.
Poyee wewe ungeniamsha tu lakini tukeshe wote.
Du we ni nomaa umechomekea hapo hapo na maneno ya Fantasia
Ndio hapo namuuliza pole hyo ni ya ukweli kuwa ananipa pole akinionea huruma kwa kutofaid usingiz au ananipa pole ya kinafiki kunicheka kukosa usingiz!!Yani hapo inaonyesha pole yako wewe ambae hukupata usingizi ila yeye aliuchapa tu kisawasawa.