Hakuwepo, alikwenda dukan, mie huku ndio nikatoka, nilimtumia msg nikaona imefeli nahis ni network, then nikamuachia kimemo mezan kumueleza niendako.. Naanzaje kuondoka bila kumuaga malkia wangu, wakat yeye hajawah hata siku moja kuondoka pasina kuniaga...