Makapuku Forum

Kumbe na maandiko unayafaham[emoji12] [emoji12]

Hakika wewe ni mume bora[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Nafurahi kuona hii couple.
Kwa wale wote waliokuwa hawaamin nilichokuwa nasema kuwa mimi ndo amaizing na amaizing ndiyo mimi waje wasome hapa..Baby unazidi kunipa raha tu kwa jinsi unavyowanyoosha taratiibu hii asome werrason
 
.....@amaizing is this stuff confirmed???
 
Vita vipo vya namna mingi wewe vita vyako ni vipi 1 Timotheo 1:18 inasema piga vita vile vizur vya imani...Sasa wewe vita yako ni ipi?
Vita vyetu c juu ya damu na nyama bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya mamlaka ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho Efeso 6:,12
Vita vipo vya namna mingi wewe vita vyako ni vipi 1 Timotheo 1:18 inasema piga vita vile vizur vya imani...Sasa wewe vita yako ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…