Makapuku Forum

Umeongea point...mimi pia huwa siuumizi ubongo kumchukia mtu...haswaa akiwa hana effect yoyote katika maisha yangu...mbaya zaidi nikiwa simfahamu in reality. Ila nadhan anafanya yale ili kuboost ile brog yake si unajua analipwa pesa mingi mingi
Hapaswi kushusha thaman utu wake kisa pesa.. Hebu fikiria wanae wanamchukuliaje.. Vipi watu timam waliomzunguka, ni kama vile mtoto uwe na maza kicheche.. Kama anafanya hayo kisa pesa hana tofaut ya kiakili wala kiroho na wale wanaotembea uchi kwa tv.. Kama anayafanya haya madogo ili apate pesa, vip akipewa dau kubwa zaid, si atafanya ambayo hujawah kumuwazia..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…