Kuangusha sidhan, sikumbuk lini niliangusha, na kwa ubebaji wangu wa pesa hata nikiangusha ngumu kugundua ila kuibiwa ndio mara nying, zaid, last time kaja ndugu yangu tumechangia baba.. Kanipiga karbia laki 4 hv.. Nahisi alikuwa anachota kidogo kidogo kuja kugutuka imebaki laki 4