Baba sura kama ya wazir mkubwa aliyepita.. Amani ikiwepo hujui, shari huelew... Mtoto hata hela ya xcul anaomba kupitia bimkubwa.

Asante, nakupenda sana dada wa maana mnoView attachment 389616View attachment 389617View attachment 389618
Mpaka hapo basi sina la ziada, nawatakia jumatatu njema na wiki yenye mafanikio. Kwa udhamini mkubwa wa UKUTA niite Jimena Jimenes
Ciao