Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Pole sana jirani, tatizo ni niniJirani we acha tu mi naumia mimi.
Jirani yako ndiye nduguyoJirani we acha tu mi naumia mimi.
JJ sijui yuko wapi...ngoja nimtafute
NB: ngoja nijiandae fasta twende.
Hiiyo inatokea tuuuWote mna usingizi, ndio wasi wasi wangu
Haendagi kanisani.Hujui kabisa alikoenda
Labda yupo kanisani![]()
![]()
![]()
YeahReally?![]()
Si ile mechi yao ya Man u...na ile ya Real Madrid au....?Mechi gani tena jirani
HahahaHaendagi kanisani.
Eb muelezee uyuSi ile mechi yao ya Man u...na ile ya Real Madrid au....?
Nakuja kukupikia fasta fasta...nipe dakika 20 tu.Aaaah
Amnaa haja aga mkwe
Cjala hadi now
KaribuHaya ahsante
Leo nilipata shutuma kali sanaJirani yako ndiye nduguyo
Twende....![]()
![]()
![]()
Twnd ztu mam
Basi unamjua vizuri, mimi nikajua kaenda Misa ya saa 4Haendagi kanisani.
Daaah njoo m swt pNakuja kukupikia fasta fasta...nipe dakika 20 tu.
Iliisha saa nne tu, akaja hapa anashangiliaSi ile mechi yao ya Man u...na ile ya Real Madrid au....?
Ndio na alikuwa excited sanaIliisha saa nne tu, akaja hapa anashangilia