Ni dada anajaribu kuonyesha ukali kwa kaka ake mbaya anamletea noma kaka mbele ya muhusika...sasa yule muhusika si anaeza ona huyu jamaa hamna kitu..CC Linamo
mie ndie nnaongoza hapa!! kila penye like 5 nakandamizaga ya 6 thn baadae nikirudi zinakua zimepotea, ndio maana nataka nyinyi ili tuone kama zitafutwa muulize boss Bitoz anajua hili
Dada kwa kazi uliyo nayo ni mimi tu nimekuwa na kiherehere wala sikulaumu na usiniombe radhi ila ukishindwa fanya vizuri itabidi unombe tu radhi yangu baadae..
Mkuu naomba dada angu Linamo asijibu swali hili maana jibu atakalo kupa litazid kuniharibia kwa amaizing ...dada usijibu hii tafadhali ama jibu kwa kunisifu..