Wifi acha tu huyo emmyguy anashobo SanaAaahhh linamo utaua banaaa
Punguza khasiraaaa
Mimi huku nasema ameeen..ameenMmmmhh
Uchungaj umeanza Lin???
pambana ... ila mtangulize MUNGUNakomaa naye mwanzo mwisho na anaonekana ni muelewa sana naamini ligi haitakuwa ndefu hii wewe mwenyewe utaona ..
mwombe radhi tafadhali ....Unatongozewa lakini una harakaaa
World war 100 auAggyjay
unadhubutu je kumtangazia kaka yako kuwa unamtongezea mbele ya hadhira ndg?Radhi ya nini
toa like upate like ...makapuku wenzangu!! naomba mnipe like kama mia hivi ili tuone kama moderetor ataziafuta na kuzibakisha 5 tu!
kama ambavyo sie makapuku tunavyopataga!!
hapa hapa igonge hizo like tuzihesabu sote ka pamoja
Chukua hiyo mkuumakapuku wenzangu!! naomba mnipe like kama mia hivi ili tuone kama moderetor ataziafuta na kuzibakisha 5 tu!
kama ambavyo sie makapuku tunavyopataga!!
hapa hapa igonge hizo like tuzihesabu sote ka pamoja
mie ndie nnaongoza hapa!! kila penye like 5 nakandamizaga ya 6 thn baadae nikirudi zinakua zimepotea, ndio maana nataka nyinyi ili tuone kama zitafutwa muulize boss Bitoz anajua hilitoa like upate like ...