Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ras kutani nilifurahia tu nilivyofanya kayak kwenye lile bwawa kama mto lenye na nilivyofanya tour ya kutembea mwenye lile pori lenye ngedere wengi hadi mwisho...pia niliogelea i felt safe kuliko baharini...amani ni pakubwa zaidi nakubali pametulia pia, swimming siku enjoy sana maji yanawekwa dawa.
Lagoon ina raha yake pia, mi pia nilivutiwa nayo
 
Back
Top Bottom