Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Thanks...[emoji120][emoji120]Mi sijasema ntamchekea chekea hebu usinilishe maneno
Ila nimeishi kwenye Jamii ambayo haipigi watoto na watoto wana nidhamu ya hali ya juu tatizo nyie mmekariri.
Nimeishi pia kwenye Jamii inayotandika watoto na kuna watoto sugu.
Kwenye malezi kuna mambo mengi sana, na malezi yanaanza dakika ile mtoto anapozaliwa, ukimzoesha vibaya pale basi jua hata akikua atakusumbua sana
Ni hayo tu kwa leo
Ndio maanayakeIna maana mpaka wamulikiwe?
Mh!!! Ngoma inogileNajua mengi njoo nkupe ujuzi Jimena hana ishu huyu divorce tuanze upya[emoji38][emoji38][emoji38]
Kwani ushakamatika??Hahaha
Kabsa
Ana elewa pa kunikamatia
Nit always JJ
Sasa jeee[emoji1]Mwalimu katika ubora wake
Yahitaji moyo kama huyapendi hupaswi kufosiHahaha
Hata ku master kwenye hapana
Maji yakaage kilo mita 2, kutoka nilipo
HahahaMtera vepe??? Ntakufundisha kuogelea
Unanipa mtihaniNguvu ya mamba iko kumaji tu
Unaweza ukakaa tu unaangalia sunset sio lazma uogeHahaha
Hata ku master kwenye hapana
Maji yakaage kilo mita 2, kutoka nilipo
AaahThanks...[emoji120][emoji120]
BwahahahahahaHayo sio yale yaliyopigwa marufuku kweli...ohoooo sitaki kesi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwamfano hapa nnapoandika mimiUnaandika wapi sasa...ukiwa tayari umesha copy link ama veepe?
Ila kweli...[emoji7][emoji7]Asa uongooo.[emoji28]
[emoji125] [emoji100]
AaahKwani ushakamatika??
Kwani bitterpie ni me[emoji15][emoji1] siombei wanaume
[emoji1]Woouw, [emoji4] [emoji4] [emoji4]
.huki tumeshikana mikono
Kuna vidudu uwa vina wavuta watu kwenye majiYahitaji moyo kama huyapendi hupaswi kufosi
Yeah so intimate....[emoji4][emoji132][emoji127]Woouw, [emoji4] [emoji4] [emoji4]
.huki tumeshikana mikono
Napaelewa nje ndani, ila napapenda amani Beach kuliko ras kutaniKule sio kigamboni kule...basi kama ni hivyo ni mbali sana maana nilivyovuka pantoni nkaenda japo ni kaumbali karefu kutoka feli...yaah imepakana na Amani protea beach pako mwaaaah!!