Mtoto mayayi weweHata kidogo mimi hapana
Aku!!Na mimi ulvo kuja nka jua Aple ndo kaja
Mweer!!
Duuh sala za usiku hizi sio kabisaWe fumba macho uwombewe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji115] swali hilo naloNani alikuruhusu trainee kutongoza staff???
Hukumtag sasaNimeweka ngoma za Oldies nkajua mdau utakuja nkaona hutokei
HahahaSo you are younger than..
Ni kwenye page 9000# mwanzoni mwanzoni nadhani sikumbuki, humu nimechanganywa leo.Aaaah bahati mbaya Jamani.
Next time tag me please ili nikija tu nizione!!
Ziko ukurasa wa ngapi nizitafute??
[emoji3]Uki....[emoji23][emoji23]
Namba 2!![emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo ni namba ngapi?
Mi mgeni maeneo hayaUnashangaa nini???
Kifo sikitaki sasa hivi...nikifika 80 kije tu.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hebu acha uoga
Ras Kutani hii hii ya kimbiji??Las kutani kutanifaa sana
Ya Simba au?Nachek mech uki nachat
KaribuMi mgeni maeneo haya