Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Kasoro mimiI never thought ina chukuliwa serious sana.
Cc everybody
Nshakwambia unaniabisha wewBasi nimekothea nisamehe 7 mara 70
Nko poa mkuu leo nko free acha nami nikimbizeMambo vp mkuu
Wala hakuna tatizo...Alaf sja lenga jambo lolote baya
Naskitika kama limekukera kwa namna moja au nyingine, na kama limekuleta usumbufu wa namna yyte pia naskitikia juu ya hilo, waka skuwa na maana mbaya
Carrenza
Mmekutana wewe na Szny mnabusara...perfect GentlemenHuwa nakupenda sababu unajielewa..
Ni kweli nina utani sana lakin spendi utani wa kifo.
Asante kwa kunielewa


Kabisa QuigleyWanaochangia shuka, kaa nao mbali shululu
Hiyo kambi lazima ikunukieWe nae kivuruge mwenzangu![]()
Weka pichaBasi nimekothea nisamehe 7 mara 70
Ndio hivyo, kwa hiyo usishangae kabisaJioni wanarudiana tu hawa..
Si kivuruge...huyu hapa![]()
![]()
7777777777777777777777777x70Weka picha
Utaona rangi zote mwaka huu![]()
Hii nayo kali sasa
Kaka mi nimefanya nini lakiniNshakwambia unaniabisha wew
I kno i kno!!Eti yeaa kama unajua vile...![]()

Mimi niko busy kweli, muda si mrefu nawakimbiaNko poa mkuu leo nko free acha nami nikimbize