Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Asante...[emoji5]91k hongera
Asante...[emoji5]91k hongera
Yamekuwa hayoMi cio baby wako, zurura kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakula kwangu unalala kwa szce!!!!
Huu mchezo hauhitaji hasiraMpe ya matako hata moja tu
Usiniharibie...jimena usimsikize huyu Maana anagongelea misumari tu hapaUnakula kwangu unalala kwa szce!!!!
Nataka uone kuwa mume wa mtu maziwa yenye sumu ili usirudie kosaWe nae huna upendo maana unataka hadi Jimena aniue hufai hata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kitu hamja elewana hapo[emoji28]
Sijashindwa, ila Hawa nawajua sanaNiko kwenye harakati hapa za mapatanisho mana hadi mkwe kashindwa
Yeea [emoji4]Asante mamii si unajua i really need this ( hope you know what i mean)...[emoji4][emoji4]
Na badoUsiniharibie...jimena usimsikize huyu Maana anagongelea misumari tu hapa
Lala salamaJamani nasinziaaa
Usiniangushe na wewe huyo ndege namtaka, mdhibiti hukoHuu mchezo hauhitaji hasira
Tunatofautiana katika suala zima la utaniI never thought ina chukuliwa serious sana.
Cc everybody
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa nakupenda sababu unajielewa..Alaf sja lenga jambo lolote baya
Naskitika kama limekukera kwa namna moja au nyingine, na kama limekuleta usumbufu wa namna yyte pia naskitikia juu ya hilo, waka skuwa na maana mbaya
Carrenza
Wanaochangia shuka, kaa nao mbali shululuMimi siwashangai kabisa, jioni tu mnarudiana
Yeah, lakin ndo vzuri pia tunavo ambiana kama mtu hajiskii poaTunatofautiana katika suala zima la utani
Wote nyie nimewakuta waume za watu u & 123, Szny and Jimenna na mimi ndio kivuruge japo mambo yakichacha napatanisha. [emoji38][emoji38][emoji38]Nataka uone kuwa mume wa mtu maziwa yenye sumu ili usirudie kosa
Jioni wanarudiana tu hawa..Sijashindwa, ila Hawa nawajua sana
Kichwa wala hakiniumi
Nashukuru umelisemaHuwa nakupenda sababu unajielewa..
Ni kweli nina utani sana lakin spendi utani wa kifo.
Asante kwa kunielewa