Makapuku Forum

Hatareee
Kuna jamaa yetu ilivo kuwa 3-0 alivunja Tv kesho anavo amka kwenda kutupa, akaskia liva walishnda et
[emoji28]
Kichekesho kilikuwa yule mtamgazaji baada ya Crespo kufunga gori la Tatu, alisema imekwisha na liver hawana Chao, walivyochukua ubingwa alisema, tunapaswa kuzungumzia mpira ukiwa umeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…