makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,430
- 108,442
Wapi jonax
Ni sheederKibabu cha mwendokasi
Sawa, Embu nipe pongezi yangu sasa ya kushinda..Teh teh teh... Kawaida tu. Mbona hata falcao alidanganya.. Amerika kusin kama africa tuu.
"Chuki humchoma anayeihifadhi"
Kucha zitaoza... Kuandika tu hawajui ndo itakuwa kutengeneza?Hahaa.. Mambo ya padqwa na manqwa.. Vip jimena nikupeleke best!! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bora umekamata wewe ndugu yangu.. Hongera jombaa..NMESHINDAAAAAAAAAAAAAAA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wera weraaaaaaaa weraaaaaa
Kamata chini, eeh kamatia chiniii[emoji445]
Kamata chini, kamatia chini...[emoji445]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kucha zitaoza... Kuandika tu hawajui ndo itakuwa kutengeneza?
[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]NMESHINDAAAAAAAAAAAAAAA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wera weraaaaaaaa weraaaaaa
Kamata chini, eeh kamatia chiniii[emoji445]
Kamata chini, kamatia chini...[emoji445]
Una bahati sana.. siku hizi hii Jf App inakataa uktamba.Hongera sanaaaaaaaa
Rudi nyuma ukatembeze [emoji106] sasaUna bahati sana.. siku hizi hii Jf App inakataa uktamba.
Yani leo nngetambariiiiing balaaaView attachment 388078[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo roho inakuuma kweli....[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]
Hiyo hapana aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Labda wanavipaji, wamekosa elimu dunia tuu
Sawa....! Ngoja kwanza nmalizie majigambo kwanza...Rudi nyuma ukatembeze [emoji106] sasa
ASANTEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEBora umekamata wewe ndugu yangu.. Hongera jombaa..
[emoji28] alikatwa1953 - Edward Lowassa anazaliwa.
Ni mwanasiasa maarufu toka nchini Tanzania.
Ni miongoni mwa wanasiasa wachache wenye ushawishi mkubwa katika siasa za nchi ya Tanzania.
Morning bro uk njema ee!?Morning wote humu
Nishakupa mkuu.. Mie sina hiyana nawe ndugu yanguSawa, Embu nipe pongezi yangu sasa ya kushinda..
ThanksLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Edward Lowassa, chaguo la wengi.
Tukutane kesho.
JJ uwanja ni wako sasa kwa magazeti.
TGIF!!
Byee!!!