Mie hapo bado hawajanipata, sababu mke wangu nyumbani yuko hatua 100 mbele kuliko huyo mrembo, so siku ntaitumia effectively nyumban..
Hahaa.. Mambo ya padqwa na manqwa.. Vip jimena nikupeleke best!!

Hongera sanaaaaaaaa
Kibabu cha mwendokasi
Teh teh teh... Kawaida tu. Mbona hata falcao alidanganya.. Amerika kusin kama africa tuu.