Pouwa, Adje?Habar ndugu zangu..
Fresh tu.. Vip bamutu ba kongo..Pouwa, Adje?
Vip kuhusu wa kaskazini wameipokeaje hii selfie, maana hao ndio watata zaid
Hakuna aliyekumiss we mchoyoApp ilikuwa inazingua.. Kwa wale wote mlionimc, nimerud tena wandugu.
Wako vizur sana kwenye hizo mambo..
App ilikuwa inazingua.. Kwa wale wote mlionimc, nimerud tena wandugu.

Ndio maana mie nikiruka viduku.. Class fresh, n pepa napiga poa.. Nimeelewa kwanini gaucho alikuwa anachachua kabla ya kuingia kwenye game za barcelona..

Uchoyo wangu nini we nyangema!!!Hakuna aliyekumiss we mchoyo
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..........

Pamoja sana mzee wa kutomboka
Just a jokeUchoyo wangu nini we nyangema!!!![]()
![]()
![]()
Top 10 biggest countries.
Najua mkuu, usiwaze jomba.. Jokes ni sehem ya maisha yanguJust a joke
.............
Shughulisha ubongo wako piaTop 10 biggest countries.
Mbona ziko 5 kwenye pic, wacha uhun we nyangema.
FureshFresh tu.. Vip bamutu ba kongo..
Tulia wewe nyegere.. We umeandika top 10 halaf unatupa 5.Shughulisha ubongo wako pia
We ndezi acha deko
![]()
![]()
![]()
.......
GudiFuresh