Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Cc: BitozNaomba kujiunga nanyi makapuku wezangu
Cc: BitozNaomba kujiunga nanyi makapuku wezangu
Morning QuigleyMorning wote humu
AsanteLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Edward Lowassa, chaguo la wengi.
Tukutane kesho.
JJ uwanja ni wako sasa kwa magazeti.
TGIF!!
Byee!!!
[emoji16][emoji16][emoji16]Tunakaba hadi rizevu.
Yatafuata soonMagazeti vipi leo
Anakaba sana mwenyekitiDuuh Mwenye kiti hadi Penati...[emoji23][emoji23]
Hivi wana ushujaa gani?Siku ya mashujaa nchini Namibia.
Happy birthday prezidaa1953 - Edward Lowassa anazaliwa.
Ni mwanasiasa maarufu toka nchini Tanzania.
Ni miongoni mwa wanasiasa wachache wenye ushawishi mkubwa katika siasa za nchi ya Tanzania.
Asante sana mwenyekitiLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Edward Lowassa, chaguo la wengi.
Tukutane kesho.
JJ uwanja ni wako sasa kwa magazeti.
TGIF!!
Byee!!!
Pamoja.Asante sana mwenyekiti
1821 - Chuo Kikuu cha Buones Aires chafunguliwa huko Argentina.
1929 - Reuben Kamanga anazaliwa.
Alikuwa makamu wa kwanza wa Rais wa Zambia.