Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Wanasema aliponzwa na namba 13 aliyopenda kuvaa katika maisha yake ya soka.Jamaa alikuwa hana bahati kabisa aisee
weka pichaHapo mussolin hayupo
Itabidi tuchunguze kwa nini alikuwa anapenda sana hiyo no,pia fainali kama mbili hivi hakucheza ikiwepo ya kombe la Dunia, alikuwa na kadiWanasema aliponzwa na namba 13 aliyopenda kuvaa katika maisha yake ya soka.
2002 - Bayer Leverkusen wanafungwa fainali ya Uefa na Real Madrid yeye akiwa kepten wa Leverkusen. Unakumbuka goli la Zizzou lile kali ndilo liliwaua.
2002 - Wanafungwa fainali ya Kombe la Dunia na Brazil.
2008 - Timu yake ya Chelsea wanafungwa fainali ya Uefa na Man Utd.
2008 - Ujerumani wanafungwa fainali na ya Euro na Spain, Ballack akiwa nahodha.
Fainali ya kombe la dunia ya 2002.Itabidi tuchunguze kwa nini alikuwa anapenda sana hiyo no,pia fainali kama mbili hivi hakucheza ikiwepo ya kombe la Dunia, alikuwa na kadi
Naijua hiyo no vizuri sana, pia alikuwa anatokea Ujerumani mashariki na watu wa magharibi hawakupenda awe kapteni wa timuFainali ya kombe la dunia ya 2002.
Wanasema namba 13 ni namba ya mikosi na ndio maana timu nyingi namba hiyo huvaliwa na Magolikipa.
Wanasema aliponzwa na namba 13 aliyopenda kuvaa katika maisha yake ya soka.
2002 - Bayer Leverkusen wanafungwa fainali ya Uefa na Real Madrid yeye akiwa kepten wa Leverkusen. Unakumbuka goli la Zizzou lile kali ndilo liliwaua.
2002 - Wanafungwa fainali ya Kombe la Dunia na Brazil.
2008 - Timu yake ya Chelsea wanafungwa fainali ya Uefa na Man Utd.
2008 - Ujerumani wanafungwa fainali na ya Euro na Spain, Ballack akiwa nahodha.
Dhambi ya ubaguziNaijua hiyo no vizuri sana, pia alikuwa anatokea Ujerumani mashariki na watu wa magharibi hawakupenda awe kapteni wa timu
Hakuwa na bahati, ila alkuwa kiungo wa shoka.
Ningekuwa kocha mechi za fainali benchi linamuhusuFainali ya kombe la dunia ya 2002.
Wanasema namba 13 ni namba ya mikosi na ndio maana timu nyingi namba hiyo huvaliwa na Magolikipa.
Moja kati ya viungo wachache ambao kitaalamu tunawaita Central Midfielders, alikuwa ana uwezo wa kucheza kama kiungo, pia uwezo kucheza kama kiungo mshambuliaji.
Si angebadili tu kajezi kakeHakuwa na bahati, ila alkuwa kiungo wa shoka.