Makapuku Forum

Aaah kuna ile theory ambayo husema kuwa watu maskini sana ndo huwa wana dini sana
Aaah wakati pia tuna jua dini zime toka kwenye historia ya binadamu toka walipo anza kuishi kwa makundi

Dini zimetumika kama kitu cha kuwaunganisha watu, lakin pia dini imetumika katika kuwaibia watu, kuwa hadaa, kuwa ua, kuwafanya wawe watumwa na pia kuwatawala au kuwanyonya watu

Sooooo.......
 
10. Brazil nchi hii ya amerika kusini ni nchi ambayo wanaishi matajiri hasa na maskini wa kutupa humo humo, so wananchi wa Brazil ambao wengi ni wakatoliki wana zungumza kireno na wareno na wa hispania ndio walipeleka dini ya ukatoliki huko toka karne ya 16, na dini nyingne nyingne zipi, wakati 64% ni wa katoliki, 22% ni wa protestant, japo kuna atheist wakutosha pia, asilimia 85 ya Wa Brazil wanaamini wao ni wana dini na hushiriki ki kamilifu mambo yao ya kidini
 
9. Peru watu wa Peru kabla hata hawajaja wa Hispania kuwa tawala walikuwa wana dini yao inaitwa Pachamama, ambayo mpaka sasa wale wenyeji wenyewe wa Peru bado wana iabudu huko milima ya Peru, wakati pia si nchi kubwa bado Peru ina dini kama wa katoliki, wa proteatant ,wa Mormon, ma Buddha, wa Hindu, na dini nyengne kibaoo, wana nchi wa peru 86% wana amini wao ni wana dini na wana shirikia kikamilifu, na huku Peru wale wasio amini uwepo wa Mungu ni kama 0.000015%, lyk hawapo,
 
8. Kenya yaan ukristo huko Kenya ndo umevamia wakati makanisa ya Ki protestant yakichukua 47% kanisa katoliki lina chukua 23% ya wakenya wote, dini nyingne ni kama Africa Evangelical Presbyterian Church, the Independent Presbyterian Church in Kenya na the Reformed Church of East Africa. Pia kuna waislam, wabudha na wahindu ambao wengi wako pwani ya Kenya, asilimia 88 ya wakenya woote ni wana dini wazuri kabsa wakati wale ambao hawadhani kama wao ni wana dini ni kama asilimia 9 tuu
 
Kenya wameizidi Venezuela, wako juu
 

Brazil Jesus Christ statue
.............
 
Sasa mbona ni waonvowaongo na matapeli

.... ......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…