Makapuku Forum

Jamaaaaa alikamatwa ana dawa za kulevya,,,, akaambiwa achague adhabu kati ya kunyongwa, kupigwa risasi, au kupigwa sindano ya virusi vya ukimwi yaan (HIV),,,,,

Jamaa:samahani naomba mtoke nje nfikirie kdogo af nkiwa tyari ntawaiten,,, wakatoka,,

Jamaa :kwa kujiamini kabisa!!! Haya njooni,,,,

Polsi :Mmmmmh tuambie umechagua adhabu gani????

Jamaa :kupigwa sindano ya virusi vya ukimwi,,,,

Polsi 😛ale pale wakampiga jamaaaaa sindano ya virusi vya ukimwi!!!! Haya bhanaaa upo huru,,,,,,,,,

Jamaa :akacheeeeeeeeka,,, HAHAHAHAAAAA,

Polsi :vp mbona unacheka???

Jamaa :mlipotoka nje nilivaa kondomu,,,,,,

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........,..................
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…