Yaani kaacha kula pensheni anataka ale kick
Samtaimu kuna mazee mapumbavu kumzidi mbuzi
Ndio maana niliwahi kuandika DONGO KWA WAZEE hapa CC
.............
aisee kumbe ndiyo hivi...basi uzee kazi!!
itabidi wazee tuwe na sehemu yetu hapa, btw uzee hata kwako utakuja tu...jiandae vizuri unaweza usiwe hata na uwezo wa kuandika.
Ipo
Conspiracy = means agreement btn two people or more to do a lawful act or unlawful act for unlawful means
Simply ni kula njama
.....................
Mi maswala ya kuitana itana majina kama tuko shule au kwenye bendi ndo siyataki.
Kama huna neno la kusema kalale
Kuhusu uzee it's your problem not mine