Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Sumbawanga nako hapana. Ila wacha waende sisi tubakie joto city tule bataBora hata wangepeleka serikali Sumbawanga tujue moja...![]()
![]()
![]()
Sumbawanga nako hapana. Ila wacha waende sisi tubakie joto city tule bataBora hata wangepeleka serikali Sumbawanga tujue moja...![]()
![]()
![]()
OyooooooOyooooo
Dodoma ni Dodoma tuKutakaa vzuri huta amini
Sema kutakuwa kina boa tuu
Mhhh...Mtera tena?! yale maji ya bwawani ya umeme? umenidharau hatari...Ntakuwa nakupeleka mtera dam ukaone beach ya kule
![]()


Unakula nini?Jaman ngoja
Nile hapa ntarejea
Kule hamna mbugaHaya sasa Dom ileeee...![]()
Aaah....Kule hamna mbuga
Tatizo kibali, kama huna huwezi hata kupiga pichaNtakuwa nakupeleka mtera dam ukaone beach ya kule
![]()
Hata karibu hamna mkwe!!!!Jaman ngoja
Nile hapa ntarejea
Nini tena jiraniMhhh...Mtera tena?! yale maji ya bwawani ya umeme? umenidharau hatari...![]()
Hili nimeruhusu kabisa..... Mpeleke tu MteraNtakuwa nakupeleka mtera dam ukaone beach ya kule
![]()
Si Szcny kasema atanipeleka mteraa kagundua napenda beach ila Dom hakuna...Nini tena jirani



Hii nimeruhusu kiroho safiSi Szcny kasema atanipeleka mteraa kagundua napenda beach ila Dom hakuna...![]()
Mwanamke una wivu wewe ni hatari...Hii nimeruhusu kiroho safi

(wivu unahusika lakini) Jay dee aliimba pia.Ninao ila sio kwa safari kama ya MteraMwanamke una wivu wewe ni hatari...(wivu unahusika lakini) Jay dee aliimba pia.
Sasa huko huko mtera ndio kwenyewe huko (chimbo)...ohoooo kumbe we hujui...shauri zako.Ninao ila sio kwa safari kama ya Mtera
Mkuu uliakimbilia wap!!?Oyoooooo
Kila la heri.Sasa huko huko mtera ndio kwenyewe huko (chimbo)...ohoooo kumbe we hujui...shauri zako.